Hofu ni mkakati wa kuishi kwa viumbe vyote. Hata hivyo, kuna watu wenye hali nadra ambayo inawafanya kutokuwa na hofu yoyote. Maisha yangekuwaje bila woga? Fikiria kuruka kutoka kwa ndege na usihisi ...
Mkutano wa bioanuwai wa Umoja wa Mataifa umeanza huko Montreal, Canada. Mkutano huo wa wiki mbili utajikita katika kuokoa viumbe hai. Lakini Bioanuwai ni nini hasa na kwanini ni muhimu katika maisha ...