Kwa mujibu wa vyombo vya usalama, Ujerumani wanaishi maelfu ya waislamu wenye itikadi kali. Watu hao wamegawanyika katika makundi tofauti na wana malengo tofauti. Haya ni baadhi ya makundi na viongozi ...