Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Mwanza. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure imemsimamisha kazi mtumishi wake katika Kitengo cha Mochwari baada ya kudaiwa kulazimisha wafiwa kununua majeneza kwake. Taarifa iliyotolewa na ...
London, England. Klabu ya Chelsea FC imemfuta kazi kocha wake mkuu, Liam Rosenior, kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo ndani ya klabu hiyo. Uamuzi huo umechukuliwa leo Jumatano Aprili 22, 2026 baada ya ...
Songwe. Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songwe, imemhukumu kifungo cha nje cha miezi 18, Elizabeth Sylvester maarufu Sosomo, mkazi wa Kijiji cha Chudeko, Wilaya ya Songwe, baada ya kutiwa hatiani ...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, akizungumza wakati akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, leo, Aprili 22, 2026, bungeni jijini Dodoma. Dar es Salaam. Waziri ...
Dar es Salaam. Katika mfululizo wa makala zilizotangulia, Mwananchi imechambua kwa kina hali ya matumizi ya majengo yasiyokamilika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, yakitumika kwa biashara huku ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishina wa Polisi (DCP) Wilbrod Mutafungwa, akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake ,Mkoa wa Mwanza. Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza ...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, akizungumza wakati akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, leo Aprili 22, 2026, bungeni jijini Dodoma. Dar es Salaam. Waziri wa ...
Riyadh. Mtoto wa Cristiano Ronaldo, mwenye umri wa miaka 16, anaripotiwa kuandaliwa kuingizwa haraka katika kikosi cha kwanza cha klabu ya Al-Nassr. Cristiano Ronaldo Jr anaweza kujikuta akicheza ...
Dar es Salaam. Wanamuziki wa muziki wa dansi Tanzania wameendelea kuendesha maisha yao kwa kutegemea mfumo wa malipo ya posho kila wanapopanda jukwaani kupiga shoo. Tofauti na wasanii wa kizazi kipya ...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akitoa maelekezo kwa watendaji wa Wakala wa Barabara Tanzania ( Tanroads) kuhusu ujenzi wa barabara ya Maneromango- Kisarawe. Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah ...
Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa TEEMO Africa Company Ltd, Winfrida Shonde. Dar es Salaam. Balozi wa mazingira na mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa TEEMO Africa Company Ltd, Winfrida Shonde ...