Zahanati ya Kijiji cha Migango, wilayani Biharamulo, Kagera, imebainika kuwa mtumishi mmoja wa afya, licha ya kutegemewa na wakazi 9000 wa Kijiji hicho. Hayo yamebainishwa na Diwani wa Kata ya Runazi, ...